Ratiba · Ubao wa Kalenda

Ratiba yako, kama ubaoni wa uwanja wa ndege.

Ukiondoka mtandaoni, SMS bado inafika. Kila mmoja hulipa kutoka salio lake mwenyewe la SendAfrica.

Kalendafy · live boardLIVE
  • EXAMMATH20108:00SENT
  • CLASSCOM10410:15SENT
  • VICOBAMKUTANO17:00SCHE
  • CHURCHIBADA18:30SENT
  • MTGCR-BRIEF20:00SAMB
  • EXAMSTA20008:00SCHE
6 rows · updated just nowTZ · DAR

Hivi ndivyo inavyofanya kazi

  1. 01

    Panga

    Andika tukio — mtihani, mkutano, ibada — chagua muda wa kukumbushwa.

  2. 02

    Sambaza

    Kwa kalenda yako, ni otomatiki. Kwa channel, bonyeza "Sambaza sasa".

  3. 03

    Fika

    Kila mwanachama anapokea SMS kupitia salio lake mwenyewe la SendAfrica.

Kwa nani

DARASA

Kwa CR na madarasa

Ratiba ya mitihani, mabadiliko ya darasa, taarifa za dharura. Wanafunzi hupokea SMS hata bila internet.

→ MATH201 IMEHAMISHWA ROOM C2 · 08:00
JUMUIYA

Kwa biashara na jumuiya

Vicoba, kanisa, kilabu cha michezo. Kumbusha mkutano, sadaka, mazoezi.

→ VICOBA MKUTANO MAGOMENI · JUMAMOSI 17:00

Jinsi malipo yanavyofanya kazi

Hakuna anayelipa SMS ya mtu mwingine.

Kila mtumiaji anahifadhi ufunguo wake wa SendAfrica. Wakati tukio linapofika, ni salio lake linalotumika kutuma SMS kwake. CR haichaji, admin haichaji, mwanachama pekee.

  1. 01CR anagusa Sambaza
  2. 02Ufunguo wa kila mwanachama unafunguliwa
  3. 03Salio la kila mwanachama linatozwa SMS 1
  4. 04SMS inafika kwake

Bei · Jaza salio lako

Kalendafy ni bure. Salio hulipwa kupitia SendAfrica.

Chagua kifurushi cha SMS moja kwa moja kutoka SendAfrica. Kalendafy haina ada ya mwezi.

Starter
TZS 10,000
≈ 400 SMS

Kwa mtu mmoja / CR mdogo

Jaza →
Pro
TZS 50,000
≈ 2,200 SMS

Darasa au Vicoba kubwa

Jaza →
Business
TZS 200,000
≈ 10,000 SMS

Biashara zenye wateja

Jaza →
Enterprise
Ongea nasi
Kiwango kikubwa

Taasisi na mashirika

Jaza →